Karibu Mjue sana Mungu Ministry Online
Karibu Katika Mjue Sana Mungu Ministry Online
Tunawakaribisha kwa upendo mkubwa katika huduma ya Mjue Sana Mungu Ministry Online.
Huduma hii inalenga kuwasaidia watu kumjua Mungu kwa kina kupitia:
Mafundisho safi ya Biblia,
Maombi ya kila siku,
Ushuhuda wa maisha ya imani,
Maswali na majibu kuhusu Neno la Mungu.
Ujumbe wetu:
Kuwawezesha watu kuishi maisha ya ushindi kwa kulijua na kulitii Neno la Mungu.
Tunakukaribisha kwa mikono miwili!
Ubarikiwe unapojifunza pamoja nasi.
(Isaya 55:6)
"Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana, mwiteni maadamu yu karibu."
Maoni
Chapisha Maoni